Mshindi wa nne BSS ni kutoka Congo na mshindi wa tatu anatoka Tanzania Magomeni Dar es Salaam, Mshindi wa pili ni kutoka Mbeya rapa SOFIRE na mshindi wa kwanza wa BSS 2026 ni kutoka Kampala Uganda, Praise Wisdom
Mshindi wa pili anapata milioni 5 na amepewa na milioni 5 kwenda kwa mama yake fedha zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Mshindi wa tatu amepata kitita pia.
0 Reviews