Read more
NA HADIA KHAMIS, BOSS TV
MWENYEKITI wa Wafanyabiashara Machinga Mkoa wa Dar Es Salaam Namoto Yussuf Namoto amesema watachangishana kama wafanyabiashara machinga na kiasi kitakachopatikana watakiwakilisha katika kamati ya maafa.
Namoto amewaambia waandishi wa habari kwamba Hanang ni sehemu ya Tanzania ambayo wateja wengi huja Dar es Salaam kununnua bidhaa mbalimbalii hivyo wanakila sababu ya kuwachangia.
"Jukumu letu ni kuwqchangia ndugu zetu sisi kama maxhibga tutaxhangishama kwa hiyari yetu kwa watakaoguswa ili nasi tuwe sehemu ya kusaidia upatikanaji wa viti muhimu katika.mahitaji ya waathirika wa maafa ya Hanang" amesema.



0 Reviews