MAKONDA AKUTANA NA SPIKA TULIA ACKSON

MAKONDA AKUTANA NA SPIKA TULIA ACKSON

Size
Price:

Read more

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 2 Novemba 2023.

Pamoja na Mambo mengine, Makonda amempongeza Dkt.Tulia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa IPU ambapo amesema kuwa CCM itahakikisha inamuunga mkono katika majukumu yake ili azidi kuitangaza Tanzania kimataifa.

0 Reviews

Contact form

Name

Email *

Message *