Read more
Viongozi mbalimbali wa siasa nchini wametoa ushauri mzito kwa serikali kuhusu uundaji wa Tume ya Maridhiano, wakisisitiza kuwa jukumu lake kuu linapaswa kuwa ni kulinda amani, umoja, na mshikamano wa wananchi wote.
Ushauri huo umetolewa kufuatia tamko la Rais Samia Suluhu Hassan alilolitoa Julai 30, mwaka huu, ambapo alieleza kuwa serikali inatarajia kuunda tume hiyo ili kuharakisha mchakato wa marekebisho ya katiba wakati uchunguzi wa matukio ya uchaguzi ukiendelea.
Viongozi hao wameeleza kuwa mafanikio ya tume hiyo yatategemea sana namna itakavyowashirikisha wadau mbalimbali kutoka sekta zote na kuweka maslahi ya taifa mbele badala ya maslahi binafsi ya wanasiasa.…
.jpg)
0 Reviews