Read more
Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kulinda, kusimamia na kutekeleza haki za binadamu ikiwemo haki za raia wa Tanzania pamoja na wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali wanaohifadhiwa nchini.
Akizungumza na wakimbizi wanaoishi jijini Dar es Salaam waliowawakilisha wenzao kutoka maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kuhakikisha amani na usalama wa nchi unadumishwa ili madhira yanayotokea katika mataifa mengine yasitokee Tanzania.
Katambi amesema Tanzania imekuwa mfano wa kuigwa katika ukarimu kwa wakimbizi, lakini pia imejifunza kutokana na hali ya usalama inayojitokeza katika nchi jirani, hivyo inaimarisha mifumo yake ya ulinzi na usimamiz…

0 Reviews