WADAU WA SIASA WATAKA MARIDHIANO KUNUSURU NCHI

WADAU WA SIASA WATAKA MARIDHIANO KUNUSURU NCHI

Size
Price:

Read more


Katibu Mkuu wa Chama cha Maendeleo ya Uma (Chauma) na aliyekuwa mgombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2025, Salum Mwalimu, ametoa wito wa kuwepo kwa klasi katika kupatikana kwa maridhiano yanahitajika kwa dharura na kuonya kuwa mtu yeyote mwenye nia ya kutaka yaliyotokea Oktoba 29 yajirudie hatakuwa miongoni mwa Watanzania na anapaswa kukataliwa. 

Mwalimu ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa mjadala wa kitaifa kuhusu hatima ya nchi ulioandaliwa na Chama cha ACT Wazalendo. 

.Mwalimu alieleza kuwa kila mtu anajua kilichotokea siku hiyo ya uchaguzi, ikiwemo mauaji na uwepo wa changamoto kubwa ya ajira kwa vijana, lakini akasisitiza kuwa kikwazo kikubwa kwa sasa imekuwa ni wanasiasa kushindana maneno m…



0 Reviews

Contact form

Name

Email *

Message *