RAIS SAMIA NJIANI KUELEKEA KATESH

RAIS SAMIA NJIANI KUELEKEA KATESH

Size
Price:

Read more


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa. (Picha na Ikulu)

0 Reviews

Contact form

Name

Email *

Message *