RAIS DKT MWINYI AZINDUA HOSPITALI WILAYA YA CHAKECHAKE

RAIS DKT MWINYI AZINDUA HOSPITALI WILAYA YA CHAKECHAKE

Size
Price:

Read more

RAIS wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefungua Hospitali ya Vitongoji Wilaya ya Chake chake ambapo amesema amefarajika na mazingira ya hospitali hiyo katika kutoa huduma kwa wananchi.

Aidha mara baada ya ufunguzi wa hospitali hiyo Rais Mwinyi amefika Michakaeni Wilaya hiyo ya Chake kufungua Kituo cha wajasiriamali na kuwataka halmashauri kuweka kodi ambazo zinahimilika kwa wajasiriamali huku Rais Mwinyi akitoa msamaha wa kodi wa miezi mitatu kwa wajasiriamali hao.

Nae Waziri wa nchi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Masoud Mohamed Ali amewataka wajasiriamali hao kukitumia kituo hicho kwa malengo yaliyokusudiwa.

0 Reviews

Contact form

Name

Email *

Message *