Read more

MAREFA watakao chezesha mechi ya Simba na Yanga itakayopigwa Novemba 5,2023 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa majira ya saa 11 wametajwa.

Ofisa Habari Bodi ya Ligi, Karimu Boimanda amewataja marefa watakaochezesha mechi hiyo kuwa ni Ahmed Arajiga mwamuzi wa kati huku Mohamed Mkono na Kassim Mpanga wakisimama pembeni kumsaidia.

Ramadhani Kayoko ametajwa kuwa refa wa akiba na Kamishna wa mechi hiyo ni Hosea Lugano.  

0 Reviews

Contact form

Name

Email *

Message *